Isaiah 43:14

Huruma Za Mungu, Na Kukosa Uaminifu Kwa Israeli


14 aHili ndilo Bwana asemalo,
Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli:
“Kwa ajili yenu nitatumana Babeli
na kuwaleta Wakaldayo wote kama wakimbizi,
katika meli walizozionea fahari.
Copyright information for SwhKC